fbpx

Lini na Nini maana ya Siku ya Karume?

Lini na nini maana ya Siku ya Karume nchini Tanzania-2
Lini na nini maana ya Siku ya Karume nchini Tanzania? Siku ya Karume ni siku ya mapumziko ya Umma nchini Tanzania, inayoadhimishwa kila tarehe 7 ya mwezi Aprili. Pia inajulikana kama siku ya Sheikh Abeid Amani Karume, siku hii ni kumbukumbu ya kuuwawa kwa rais mzanzibari Abeidi Karume mwaka 1972. Ukweli kuhusu Abeid Amani Karume Sheikh Abeid Amani Karume (1905-1972), kiongozi wa kisiasa...

Mipangalio ya Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai

Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii wa Kimaasai
Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai   Mpangilio wa kijamii Sifa kubwa ya tofauti katika Jamii ya kimaasai ni mfumo wa miaka ambao uwatofautisha wanaume wakubwa katika mifumo ya kimiaka ambayo inapishana kwa takribani miaka kumi na tano. Kila mfumo wa miaka uliowekwa umegawanyika katika pande mbili "upande wa kulia" ukifuatwa na "upande wa kushoto”. Kitu chenye umuhimu mkubwa kwenye jamii...

Vitu vya Kweli 10 Kuhusu Kabila la Masai (Maasai)!

Vitu vya Kweli 10 vya Kuvutia Kuhusu Kabila la Maasai
Vitu vya Kweli 10 vya Kuvutia Kuhusu Kabila la Masai! Kabila la Masai ni la watu wanaopatikana Afrika ya mashariki. Ni maarufu ulimwenguni kwa tamaduni yao ya kipekee na “kivutio maarufu cha kitalii” kwa watu wanaotembelea eneo hilo. Mimi binafsi, naliona ni la kuvutia! Kwahiyo leo ninakushirikisha kujuwa vitu vya kweli kumi kuhusu kabila la Masai! #1 Kabila la Masai linaishi...

Sherehe Ya Tohara ya Wamaasai (Jando)

Sherehe Ya Tohara ya Wamaasai
Sherehe Ya Tohara / Sherehe Ya Jando Katika jamii ya wamaasai- tohara ni moja ya sherehe muhimu zaidi ambayo wanaume na wanawake lazima wapitie. Leo sherehe hii inazingatiwa kuwa na umuhimu zaidi kwa wavulana kuliko wasichana. Wamaasai wengi hawatahiri (kufanya tohara) tena wasichana wao lakini wanaendelea na zoezi hili kwa wavulana. Masharti Sherehe ya tohara kwa wavulana hufanyika zaidi kati ya umri...

Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai

Sherehe za wapiganaji wa kimaasai
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai Baada ya tohara na sherehe za ujio wa umri, vijana wa kimaasai wanakuwa wanaume kamili na kuingia katika hatua nyingine ya maisha yao ambayo ni kizazi kipya cha wapiganaji. Kizazi kipya cha wapiganaji wa kimaasai uandaliwa kwa kipindi cha takribani miaka 7, vijana hawa uendelea kuwa wapiganaji kuanzia miaka 15 hadi 30. Kizazi kipya cha...

Historia ya Wamasai (Wamaasai)

Historia ya Maasai
Historia ya Wamasai Kufika Afrika Mashariki Leo hii wamasai wana makazi yao sehemu za Kusini mwa Kenya  na Kaskazini kati mwa Tanzania. Historia ya wamasai inaonyesha kwamba wao ni jamii ya wafugaji na wanaishi kwa kuhamahama na ndio namna ya Maisha yao. Urithi wao ni watu na ng’ombe. Walihamia kutoka kusini mwa mto Naili kaskazini mwa Afrika kutoka karne ya kumi...

Sikukuu za Umma Nchini Tanzania

Sikukuu za Umma nchini Tanzania - Sherehe za Mapinduzi Zanzibar
Sikukuu za Umma nchini Tanzania Sikukuu za Umma nchini Tanzania ni kwa mujibu wa Sheria ya sikukuu za Umma (ilivyorekebishwa) mwaka, 1966 na huzingatiwa nchini kote.   Historia Sheria ya Sikukuu za Umma (Iliyorekebishwa) ya mwaka, 1966 imeorodhesha sikukuu kumi na mbili za umma katika ratiba yake. Kwa sasa, Tanzania ina jumla ya sikukuu za umma kumi na saba: sikukuu nane za kidini,...

Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto

Sherehe za Waamasai za Kuwapa Majina Watoto
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto Mtoto wa Kimaasai anapozaliwa, hapatiwi jina rasmi, ila hupewa jina la muda tu linajulikana kama embolet, ikiwa ina maana ya Ufunguzi. Toka siku alipozaliwa, mpaka siku itakapofanyika sherehe ya kumpatia jina, mtoto atakuwa akitambulishwa kwa kutumia jina la embolet. Watoto wa Kimaasai huwa wanatofautiana kiumri wakati sherehe ya kutoa majina inapofanyika. Kutegemea...

Utengenezaji wa Shanga na Vito wa Wamasai

Utengenezaji wa Shanga na Vito wa Wamasai
Utengenezaji wa shanga na vito wa Wamasai Ulimwenguni kote, makabila hujulikana na kutambulika kwa mavazi na mapambo yao. Inaweza kuwa Wamasai ni moja ya watu wanaotambulika sana kwa mitindo na mapambo, rangi angavu, vito vya mapambo ambavyo huning'inia na ving'ora vyenye kuvutia macho. Wamasai hutengeneza picha maarufu za mabibi harusi vijana waliojaa mapambo ya shanga nyingi, shanga za shingoni ambazo...

Social

99,345MashabikiKupenda
89,069WafuasiKufuata
98,310WafuasiKufuata
6,394WanachamaKujiunga