fbpx

Taasisi Husika Katika Sekta ya Viwanja vya Ndege

Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Tanzania
Taasisi Katika Sekta ya Viwanja vya Ndege Tanzania na Masuala Muhimu Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA) Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania TAA ilianzishwa chini ya sheria ya wakala wa serikali No 30 ya mwaka 1997 ambayo ilizinduliwa rasmi Novemba 1999. Ni wakala unaojietegemea chini ya wizara ya uchukuzi (MOT) na hutoa ripoti kwa waziri. Pia una uongozi wa...

Mabasi ya Mwendo Kasi – Vitu Muhimu vya Kujuwa

Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam
Vitu Muhimu Kuhusu Mabasi ya Mwendo Kasi Jijini Dar es Salaam Mfumo wa usafri wa mabasi ya mwendo kasi Dar es Salaam, ni mfumo ulioanza kazi Dar es Salaam Tanzania, tarehe 10 Mei 2016. Mfumo huu wa usafiri unajumuisha awamu  6 na awamu ya kwanza ilianza kujengwa April  2012 na kampuni  ya ujenzi  ya  Austria ya ‘Strabag International GmbH’.   Ujenzi...

Social

99,345MashabikiKupenda
89,069WafuasiKufuata
98,310WafuasiKufuata
6,394WanachamaKujiunga