fbpx

Muhtasari wa Nchi ya Tanzania Katika Nyanja Zote

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kiufupi Tanzania, inayojulikana rasmi kama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hipo Afrika Mashariki ndani ya ukanda wa Maziwa Makuu ya Afrika. Imepakana na Uganda upande wa kaskazini; Kenya upande wa kaskazini mashariki; Visiwa vya Comoro na Bahari ya Hindi upande wa mashariki; Msumbiji na Malawi upande wa kusini; Zambia kuelekea kusini magharibi; na Rwanda, Burundi,...

Social

99,345MashabikiKupenda
89,069WafuasiKufuata
98,310WafuasiKufuata
6,394WanachamaKujiunga