fbpx
Nyumbani Waandishi Makala na Madenge

Madenge

Madenge
45 MAKALA 0 MAONI

Waganga wa Kienyeji wa Tanzania dhidi ya Mila!

Waganga wa Kienyeji wa Tanzania dhidi ya Mila! Ni ukweli usio na utata kwa wote waganga na matabibu wa kisasa kwamba kitengo cha waganga wa...

Asili za Vikundi vya Kikabila Tanzania

Asili ya Vikundi vya Kikabila katika Jamhuri ya Muungano Kulingana na tafiti nyingi zinazoaminika, idadi ya watu Tanzania inajumuisha zaidi ya watu tofauti 120 wenye...

Hadithi: Mwalimu Goso

Mwalimu Goso Hapo kale kulikuwa na mtu aliyeitwa Go'so, ambaye aliwafundisha watoto kusoma, sio kwenye nyumba ya shule, bali chini ya mbuyu. Jioni moja, wakati...

Hadithi: Simba, Fisi, na Sungura

Harakati za Simba, Fisi, na Sungura Hapo zamani za kale simba aliyejulikana kama Sim’ba, fisi aliyejulikana kama Fee’see na sungura aliyejulikana kama Keetee’tee waliamua kufanya...

Hadithi: Ombaomba Hamdani (Haamdaanee)

Hamdani (Haamdaanee) Ombaomba Sehemu ya Kwanza Kulikuwa na mtu mmoja maskini sana, aliyeitwa Hamdani, ambaye alikuwa akiombaomba nyumba moja hadi nyingine ili apate riziki yake, wakati...

Demografia ya Watu wa Tanzania

Demografia ya Watu wa Tanzania Makala hii inahusu taarifa za demografia za wananchi wa Tanzania, ikiwemo uwiano wa idadi ya watu, Makabila, kiwango cha elimu,...

Sherehe ya Harusi ya Kimaasai (Kimasai)

Sherehe ya Harusi ya Kimaasai Katika jamii ya Wamaasai, ndoa uchukuliwa kwa umuhimu sana. Pale watu wawili wanapowekwa pamoja kuwa mume na mke, maharusi hawa...

Imani za Kila Maasai (Masai) na Tamaduni Zao

Imani za Kila Maasai na Tamaduni Zao Imani za Kimaasai Wamaasai huamini katika Mungu anaeitwa ‘Nkai’, Mungu aliyepo kila mahali, japokuwa hawana uwezo wa kujua umbo...

Mtoto wa Maasai Kipindi cha Utotoni

Mtoto wa Maasai Kipindi cha Utotoni Ujauzito katika utamaduni wa  kimaasai Mwanamke mjamzito katika jamii ya wamaasai  uhudumiwa kama malkia. Uandaliwa chakula chake katika namna ya...

Hadithi: Mtoto wa Tabibu na Mfalme wa Nyoka

Mtoto wa Tabibu na Mfalme wa Nyoka Sehemu ya kwanza Kulikuwa na tabibu msomi, alikufa na kumwacha mke wake na mtoto wa kiume, alipokuwa mkubwa mkewe...

Social

99,345MashabikiKupenda
89,069WafuasiKufuata
98,310WafuasiKufuata
6,394WanachamaKujiunga