fbpx

Hadithi: Mkaa Jikoni, Kijana Mwindaji

Kijana mwindaji - Mkaa Jikoni
Mkaaah Jeechonee (Mkaa Jikoni), Kijana Mwindaji  Sehemu ya Kwanza Sultani Maaj′noon alikuwa na watoto saba, na paka mkubwa, vitu ambavyo vilimfanya ajionee fahari sana. Kila kitu kilienda vizuri, hadi siku moja paka alipomkamata ndama. Walipomfikishia taarifa sultani akasema, “Jambo jema, paka ni wangu, na ndama ni wangu.” Hivyo wakamjibu “sawa, mkuu,” basi tuliache suala hili. Siku chache baadae yule paka alimkamata mbuzi; na...

Hadithi: Mwanamazingaombwe na Mwana wa Sultani

Mwanazingaombwe na Mtoto wa Sultani
Mwanamazingaombwe na Mwana wa Sultani Hapo zamani kulikua na sultani aliyekuwa na watoto watatu wa kiume, ambao hakuna mtu aliyekuwa na uwezo wa kuwafundisha chochote kile; hali ambayo iliwahuzunisha sana sultani na mkewe. Siku moja mwanamazingaombwe alikuja kwa sultani na kusema, "Ikiwa nitawachukua watoto wako watatu wa kiume na kuwafundisha kusoma na kuandika, na kuwafanya wasomi wakubwa , utanipa nini?" Sultani akasema, "Nitakupa...

Social

99,345MashabikiKupenda
89,069WafuasiKufuata
98,310WafuasiKufuata
6,394WanachamaKujiunga