Hadithi: Mwalimu Goso
Mwalimu Goso
Hapo kale kulikuwa na mtu aliyeitwa Go'so, ambaye aliwafundisha watoto kusoma, sio kwenye nyumba ya shule, bali chini ya mbuyu. Jioni moja, wakati Goso akiwa ameketi chini ya mti akisoma kwa undani masomo ya siku inayofuata, Paa, alipanda juu ya mti kwa ukimya sana kuiba matunda, na kwa kufanya hivyo alitikisa kibuyu, ambacho, wakati wa kuanguka, kikampiga mwalimu...
Hadithi: Mwanamazingaombwe na Mwana wa Sultani
Mwanamazingaombwe na Mwana wa Sultani
Hapo zamani kulikua na sultani aliyekuwa na watoto watatu wa kiume, ambao hakuna mtu aliyekuwa na uwezo wa kuwafundisha chochote kile;Â hali ambayo iliwahuzunisha sana sultani na mkewe.
Siku moja mwanamazingaombwe alikuja kwa sultani na kusema, "Ikiwa nitawachukua watoto wako watatu wa kiume na kuwafundisha kusoma na kuandika, na kuwafanya wasomi wakubwa , utanipa nini?"
Sultani akasema, "Nitakupa...