Hadithi: Mwalimu Goso
Mwalimu Goso
Hapo kale kulikuwa na mtu aliyeitwa Go'so, ambaye aliwafundisha watoto kusoma, sio kwenye nyumba ya shule, bali chini ya mbuyu. Jioni moja, wakati Goso akiwa ameketi chini ya mti akisoma kwa undani masomo ya siku inayofuata, Paa, alipanda juu ya mti kwa ukimya sana kuiba matunda, na kwa kufanya hivyo alitikisa kibuyu, ambacho, wakati wa kuanguka, kikampiga mwalimu...
Hadithi: Ombaomba Hamdani (Haamdaanee)
Hamdani (Haamdaanee) Ombaomba
Sehemu ya Kwanza
Kulikuwa na mtu mmoja maskini sana, aliyeitwa Hamdani, ambaye alikuwa akiombaomba nyumba moja hadi nyingine ili apate riziki yake, wakati mwingine alikuwa akichukua vitu bila kupewa. Baada ya muda watu walimtilia shaka, na wakaacha kumpa chochote, ili asije kwenye nyumba zao. Mwishowe alikosa thamani hadi kufikia kwenda kwenye jalala la vumbi la kijiji kila siku...