Je, Unaujuwa Kiasi Gani Usafiri wa Reli Nchini?
Uchambuzi wa Kina Kuhusu Usafiri wa Reli Nchini Tanzania
Mwaka 2008 Tanzania ilikuwa na kilomita 3,689 (2,292 maili) za barabara ya reli, ikiwa ya 46 duniani kwa urefu. Inajumuisha kilomita 2,720 (maili 1,690) za milimita 1,000 (futi 3 na inchi 3 3/8) na kilomita 969 (maili 602) za milimita 1,067 (futi 3 na inchi 6). Tarehe 31 mwezi wa tatu...
Changamoto za Miundombinu ya Usafiri wa Anga
Changamoto za Miundombinu ya Usafiri wa Anga Tanzania
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere
JNIA ni mlango mkuu wa kutokea na kiunganishi kikuu cha uchukuzi ndani ya nchi. Inahudumia mji mkuu wa Dar es salaam na ukadiriwa kuwa na umbali wa kilometa 10 kutoka kati kati ya jiji. Kwa mwaka 2011 uwanja ulirekodi mapito ya abiria bilioni 1.8...