Vitu vya Kweli 10 Kuhusu Kabila la Masai (Maasai)!
Vitu vya Kweli 10 vya Kuvutia Kuhusu Kabila la Masai!
Kabila la Masai ni la watu wanaopatikana Afrika ya mashariki. Ni maarufu ulimwenguni kwa tamaduni yao ya kipekee na “kivutio maarufu cha kitalii” kwa watu wanaotembelea eneo hilo. Mimi binafsi, naliona ni la kuvutia! Kwahiyo leo ninakushirikisha kujuwa vitu vya kweli kumi kuhusu kabila la Masai!
#1 Kabila la Masai linaishi...
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Baada ya tohara na sherehe za ujio wa umri, vijana wa kimaasai wanakuwa wanaume kamili na kuingia katika hatua nyingine ya maisha yao ambayo ni kizazi kipya cha wapiganaji. Kizazi kipya cha wapiganaji wa kimaasai uandaliwa kwa kipindi cha takribani miaka 7, vijana hawa uendelea kuwa wapiganaji kuanzia miaka 15 hadi 30. Kizazi kipya cha...
Mipangalio ya Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangilio wa kijamii
Sifa kubwa ya tofauti katika Jamii ya kimaasai ni mfumo wa miaka ambao uwatofautisha wanaume wakubwa katika mifumo ya kimiaka ambayo inapishana kwa takribani miaka kumi na tano. Kila mfumo wa miaka uliowekwa umegawanyika katika pande mbili "upande wa kulia" ukifuatwa na "upande wa kushoto”. Kitu chenye umuhimu mkubwa kwenye jamii...
Utengenezaji wa Shanga na Vito wa Wamasai
Utengenezaji wa shanga na vito wa Wamasai
Ulimwenguni kote, makabila hujulikana na kutambulika kwa mavazi na mapambo yao. Inaweza kuwa Wamasai ni moja ya watu wanaotambulika sana kwa mitindo na mapambo, rangi angavu, vito vya mapambo ambavyo huning'inia na ving'ora vyenye kuvutia macho. Wamasai hutengeneza picha maarufu za mabibi harusi vijana waliojaa mapambo ya shanga nyingi, shanga za shingoni ambazo...
Imani za Kila Maasai (Masai) na Tamaduni Zao
Imani za Kila Maasai na Tamaduni Zao
Imani za Kimaasai
Wamaasai huamini katika Mungu anaeitwa ‘Nkai’, Mungu aliyepo kila mahali, japokuwa hawana uwezo wa kujua umbo wala nia yake, anaweza akadhaniwa kuwa na sifa zinazofanana na za mwanaadamu mzee sana. Heshima, maarifa yanayotokana na kuishi miaka mingi na
uwezo wake wa kitamaduni katika kubariki na kulaani umuongeza heshima Mungu huyu mwenye nguvu...
Demografia ya Watu wa Tanzania
Demografia ya Watu wa Tanzania
Makala hii inahusu taarifa za demografia za wananchi wa Tanzania, ikiwemo uwiano wa idadi ya watu, Makabila, kiwango cha elimu, afya ya watu, hali ya kiuchumi, uhusiano wa kidini, na mambo mengine yanayowahusu wananchi.
Mgawanyo wa idadi ya watu nchini Tanzania hauna usawa kabisa. Watu wengi wanaishi kwenye mpaka wa kaskazini au pwani ya mashariki, huku...
Sikukuu za Umma Nchini Tanzania
Sikukuu za Umma nchini Tanzania
Sikukuu za Umma nchini Tanzania ni kwa mujibu wa Sheria ya sikukuu za Umma (ilivyorekebishwa) mwaka, 1966 na huzingatiwa nchini kote.
Historia
Sheria ya Sikukuu za Umma (Iliyorekebishwa) ya mwaka, 1966 imeorodhesha sikukuu kumi na mbili za umma katika ratiba yake. Kwa sasa, Tanzania ina jumla ya sikukuu za umma kumi na saba: sikukuu nane za kidini,...
Asili za Vikundi vya Kikabila Tanzania
Asili ya Vikundi vya Kikabila katika Jamhuri ya Muungano
Kulingana na tafiti nyingi zinazoaminika, idadi ya watu Tanzania inajumuisha zaidi ya watu tofauti 120 wenye asili ya Kiafrika, ambao wengi wao wamekusanywa katika vikundi vikubwa. Kwa sababu ya athari za uhamiaji wa vijijini-hadi-mijini, usasa, na siasa, baadhi ya makabila
madogo yanapotea zaidi hatua kwa hatua.
Mwanzoni mwa miaka 5000 kabla ya zama...
Historia ya Wamasai (Wamaasai)
Historia ya Wamasai
Kufika Afrika Mashariki
Leo hii wamasai wana makazi yao sehemu za Kusini mwa Kenya na Kaskazini kati mwa Tanzania. Historia ya wamasai inaonyesha kwamba wao ni jamii ya wafugaji na wanaishi kwa kuhamahama na ndio namna ya Maisha yao. Urithi wao ni watu na ng’ombe. Walihamia kutoka kusini mwa mto Naili kaskazini mwa Afrika kutoka karne ya kumi...