Madenge
Lini na Nini maana ya Siku ya Karume?
Lini na nini maana ya Siku ya Karume nchini Tanzania?
Siku ya Karume ni siku ya mapumziko ya Umma nchini Tanzania, inayoadhimishwa kila tarehe 7...
Mipangalio ya Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Â
Mpangilio wa kijamii
Sifa kubwa ya tofauti katika Jamii ya kimaasai ni mfumo wa miaka ambao uwatofautisha wanaume wakubwa...
Vitu vya Kweli 10 Kuhusu Kabila la Masai (Maasai)!
Vitu vya Kweli 10 vya Kuvutia Kuhusu Kabila la Masai!
Kabila la Masai ni la watu wanaopatikana Afrika ya mashariki. Ni maarufu ulimwenguni kwa tamaduni...
Sherehe Ya Tohara ya Wamaasai (Jando)
Sherehe Ya Tohara / Sherehe Ya Jando
Katika jamii ya wamaasai- tohara ni moja ya sherehe muhimu zaidi ambayo wanaume na wanawake lazima wapitie. Leo...
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Baada ya tohara na sherehe za ujio wa umri, vijana wa kimaasai wanakuwa wanaume kamili na kuingia katika hatua nyingine...
Historia ya Wamasai (Wamaasai)
Historia ya Wamasai
Kufika Afrika Mashariki
Leo hii wamasai wana makazi yao sehemu za Kusini mwa Kenya na Kaskazini kati mwa Tanzania. Historia ya wamasai inaonyesha...
Sikukuu za Umma Nchini Tanzania
Sikukuu za Umma nchini Tanzania
Sikukuu za Umma nchini Tanzania ni kwa mujibu wa Sheria ya sikukuu za Umma (ilivyorekebishwa) mwaka, 1966 na huzingatiwa nchini...
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto
Mtoto wa Kimaasai anapozaliwa, hapatiwi jina rasmi, ila hupewa jina la muda tu linajulikana kama embolet, ikiwa...
Utengenezaji wa Shanga na Vito wa Wamasai
Utengenezaji wa shanga na vito wa Wamasai
Ulimwenguni kote, makabila hujulikana na kutambulika kwa mavazi na mapambo yao. Inaweza kuwa Wamasai ni moja ya watu...
Hadithi: Kima, Papa na Punda wa Dobi
Kima, Papa na Punda wa Dobi
Hapo zamani za kale Kee′ma(kima) na Pa’pa (Papa) walikuwa marafiki wakubwa.
Kima aliishi katika mti mkubwa wa mkuyu uliokua kando...