fbpx

Imani za Kila Maasai (Masai) na Tamaduni Zao

Imani za Kila Maasai na Tamaduni Zao
Imani za Kila Maasai na Tamaduni Zao Imani za Kimaasai Wamaasai huamini katika Mungu anaeitwa ‘Nkai’, Mungu aliyepo kila mahali, japokuwa hawana uwezo wa kujua umbo wala nia yake, anaweza akadhaniwa kuwa na sifa zinazofanana na za mwanaadamu mzee sana. Heshima, maarifa yanayotokana na kuishi miaka mingi na uwezo wake wa kitamaduni katika kubariki na kulaani umuongeza heshima Mungu huyu mwenye nguvu...

Sherehe Ya Tohara ya Wamaasai (Jando)

Sherehe Ya Tohara ya Wamaasai
Sherehe Ya Tohara / Sherehe Ya Jando Katika jamii ya wamaasai- tohara ni moja ya sherehe muhimu zaidi ambayo wanaume na wanawake lazima wapitie. Leo sherehe hii inazingatiwa kuwa na umuhimu zaidi kwa wavulana kuliko wasichana. Wamaasai wengi hawatahiri (kufanya tohara) tena wasichana wao lakini wanaendelea na zoezi hili kwa wavulana. Masharti Sherehe ya tohara kwa wavulana hufanyika zaidi kati ya umri...

Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai

Sherehe za wapiganaji wa kimaasai
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai Baada ya tohara na sherehe za ujio wa umri, vijana wa kimaasai wanakuwa wanaume kamili na kuingia katika hatua nyingine ya maisha yao ambayo ni kizazi kipya cha wapiganaji. Kizazi kipya cha wapiganaji wa kimaasai uandaliwa kwa kipindi cha takribani miaka 7, vijana hawa uendelea kuwa wapiganaji kuanzia miaka 15 hadi 30. Kizazi kipya cha...

Mipangalio ya Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai

Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii wa Kimaasai
Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai   Mpangilio wa kijamii Sifa kubwa ya tofauti katika Jamii ya kimaasai ni mfumo wa miaka ambao uwatofautisha wanaume wakubwa katika mifumo ya kimiaka ambayo inapishana kwa takribani miaka kumi na tano. Kila mfumo wa miaka uliowekwa umegawanyika katika pande mbili "upande wa kulia" ukifuatwa na "upande wa kushoto”. Kitu chenye umuhimu mkubwa kwenye jamii...

Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto

Sherehe za Waamasai za Kuwapa Majina Watoto
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto Mtoto wa Kimaasai anapozaliwa, hapatiwi jina rasmi, ila hupewa jina la muda tu linajulikana kama embolet, ikiwa ina maana ya Ufunguzi. Toka siku alipozaliwa, mpaka siku itakapofanyika sherehe ya kumpatia jina, mtoto atakuwa akitambulishwa kwa kutumia jina la embolet. Watoto wa Kimaasai huwa wanatofautiana kiumri wakati sherehe ya kutoa majina inapofanyika. Kutegemea...

Social

99,345MashabikiKupenda
89,069WafuasiKufuata
98,310WafuasiKufuata
6,394WanachamaKujiunga