Sherehe Ya Tohara ya Wamaasai (Jando)
Sherehe Ya Tohara / Sherehe Ya Jando
Katika jamii ya wamaasai- tohara ni moja ya sherehe muhimu zaidi ambayo wanaume na wanawake lazima wapitie. Leo sherehe hii inazingatiwa kuwa na umuhimu zaidi kwa wavulana kuliko wasichana. Wamaasai wengi hawatahiri (kufanya tohara) tena wasichana wao lakini wanaendelea na zoezi hili kwa wavulana.
Masharti
Sherehe ya tohara kwa wavulana hufanyika zaidi kati ya umri...
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Baada ya tohara na sherehe za ujio wa umri, vijana wa kimaasai wanakuwa wanaume kamili na kuingia katika hatua nyingine ya maisha yao ambayo ni kizazi kipya cha wapiganaji. Kizazi kipya cha wapiganaji wa kimaasai uandaliwa kwa kipindi cha takribani miaka 7, vijana hawa uendelea kuwa wapiganaji kuanzia miaka 15 hadi 30. Kizazi kipya cha...
Historia ya Wamasai (Wamaasai)
Historia ya Wamasai
Kufika Afrika Mashariki
Leo hii wamasai wana makazi yao sehemu za Kusini mwa Kenya na Kaskazini kati mwa Tanzania. Historia ya wamasai inaonyesha kwamba wao ni jamii ya wafugaji na wanaishi kwa kuhamahama na ndio namna ya Maisha yao. Urithi wao ni watu na ng’ombe. Walihamia kutoka kusini mwa mto Naili kaskazini mwa Afrika kutoka karne ya kumi...
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto
Mtoto wa Kimaasai anapozaliwa, hapatiwi jina rasmi, ila hupewa jina la muda tu linajulikana kama embolet, ikiwa ina maana ya Ufunguzi. Toka siku alipozaliwa, mpaka siku itakapofanyika sherehe ya kumpatia jina, mtoto atakuwa akitambulishwa kwa kutumia jina la embolet. Watoto wa Kimaasai huwa wanatofautiana kiumri wakati sherehe ya kutoa majina inapofanyika. Kutegemea...
Utengenezaji wa Shanga na Vito wa Wamasai
Utengenezaji wa shanga na vito wa Wamasai
Ulimwenguni kote, makabila hujulikana na kutambulika kwa mavazi na mapambo yao. Inaweza kuwa Wamasai ni moja ya watu wanaotambulika sana kwa mitindo na mapambo, rangi angavu, vito vya mapambo ambavyo huning'inia na ving'ora vyenye kuvutia macho. Wamasai hutengeneza picha maarufu za mabibi harusi vijana waliojaa mapambo ya shanga nyingi, shanga za shingoni ambazo...