Vitu vya Kweli 10 Kuhusu Kabila la Masai (Maasai)!
Vitu vya Kweli 10 vya Kuvutia Kuhusu Kabila la Masai!
Kabila la Masai ni la watu wanaopatikana Afrika ya mashariki. Ni maarufu ulimwenguni kwa tamaduni yao ya kipekee na “kivutio maarufu cha kitalii” kwa watu wanaotembelea eneo hilo. Mimi binafsi, naliona ni la kuvutia! Kwahiyo leo ninakushirikisha kujuwa vitu vya kweli kumi kuhusu kabila la Masai!
#1 Kabila la Masai linaishi...
Demografia ya Watu wa Tanzania
Demografia ya Watu wa Tanzania
Makala hii inahusu taarifa za demografia za wananchi wa Tanzania, ikiwemo uwiano wa idadi ya watu, Makabila, kiwango cha elimu, afya ya watu, hali ya kiuchumi, uhusiano wa kidini, na mambo mengine yanayowahusu wananchi.
Mgawanyo wa idadi ya watu nchini Tanzania hauna usawa kabisa. Watu wengi wanaishi kwenye mpaka wa kaskazini au pwani ya mashariki, huku...
Mtoto wa Maasai Kipindi cha Utotoni
Mtoto wa Maasai Kipindi cha Utotoni
Ujauzito katika utamaduni wa kimaasai
Mwanamke mjamzito katika jamii ya wamaasai uhudumiwa kama malkia. Uandaliwa chakula chake katika namna ya kuhakikisha wote yeye na mtoto watabaki na afya. Ujazo na pia ubora wa chakula ambacho mwanamke ula wakati ni mjamzito uangaliwa kwa umakini ili kuhakikisha yeye na mtoto watakuwa na afya. Mwanamke mjamzito haruhusiwi kunywa...
Historia ya Wamasai (Wamaasai)
Historia ya Wamasai
Kufika Afrika Mashariki
Leo hii wamasai wana makazi yao sehemu za Kusini mwa Kenya na Kaskazini kati mwa Tanzania. Historia ya wamasai inaonyesha kwamba wao ni jamii ya wafugaji na wanaishi kwa kuhamahama na ndio namna ya Maisha yao. Urithi wao ni watu na ng’ombe. Walihamia kutoka kusini mwa mto Naili kaskazini mwa Afrika kutoka karne ya kumi...
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto
Sherehe za Kimaasai za Utoaji Majina kwa Watoto
Mtoto wa Kimaasai anapozaliwa, hapatiwi jina rasmi, ila hupewa jina la muda tu linajulikana kama embolet, ikiwa ina maana ya Ufunguzi. Toka siku alipozaliwa, mpaka siku itakapofanyika sherehe ya kumpatia jina, mtoto atakuwa akitambulishwa kwa kutumia jina la embolet. Watoto wa Kimaasai huwa wanatofautiana kiumri wakati sherehe ya kutoa majina inapofanyika. Kutegemea...
Sherehe ya Harusi ya Kimaasai (Kimasai)
Sherehe ya Harusi ya Kimaasai
Katika jamii ya Wamaasai, ndoa uchukuliwa kwa umuhimu sana. Pale watu wawili wanapowekwa pamoja kuwa mume na mke, maharusi hawa wanatarajiwa kuishi pamoja milele; talaka sio chaguo labda kama mahari haikulipwa kwa utimilifu. Hata hivyo, kwa Wamaasai kushiriki ndoa na makabila na jamii zingine, talaka huanza kuingizwa taratibu, lakini ni kwa wenzi ambao wote wawili...
Mipangalio ya Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangilio wa kijamii
Sifa kubwa ya tofauti katika Jamii ya kimaasai ni mfumo wa miaka ambao uwatofautisha wanaume wakubwa katika mifumo ya kimiaka ambayo inapishana kwa takribani miaka kumi na tano. Kila mfumo wa miaka uliowekwa umegawanyika katika pande mbili "upande wa kulia" ukifuatwa na "upande wa kushoto”. Kitu chenye umuhimu mkubwa kwenye jamii...