Mipangalio ya Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangalio wa Kisiasa na Kijamii ya Kimaasai
Mpangilio wa kijamii
Sifa kubwa ya tofauti katika Jamii ya kimaasai ni mfumo wa miaka ambao uwatofautisha wanaume wakubwa katika mifumo ya kimiaka ambayo inapishana kwa takribani miaka kumi na tano. Kila mfumo wa miaka uliowekwa umegawanyika katika pande mbili "upande wa kulia" ukifuatwa na "upande wa kushoto”. Kitu chenye umuhimu mkubwa kwenye jamii...
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Sherehe za Wapiganaji wa Kimaasai
Baada ya tohara na sherehe za ujio wa umri, vijana wa kimaasai wanakuwa wanaume kamili na kuingia katika hatua nyingine ya maisha yao ambayo ni kizazi kipya cha wapiganaji. Kizazi kipya cha wapiganaji wa kimaasai uandaliwa kwa kipindi cha takribani miaka 7, vijana hawa uendelea kuwa wapiganaji kuanzia miaka 15 hadi 30. Kizazi kipya cha...
Historia ya Wamasai (Wamaasai)
Historia ya Wamasai
Kufika Afrika Mashariki
Leo hii wamasai wana makazi yao sehemu za Kusini mwa Kenya na Kaskazini kati mwa Tanzania. Historia ya wamasai inaonyesha kwamba wao ni jamii ya wafugaji na wanaishi kwa kuhamahama na ndio namna ya Maisha yao. Urithi wao ni watu na ng’ombe. Walihamia kutoka kusini mwa mto Naili kaskazini mwa Afrika kutoka karne ya kumi...
Imani za Kila Maasai (Masai) na Tamaduni Zao
Imani za Kila Maasai na Tamaduni Zao
Imani za Kimaasai
Wamaasai huamini katika Mungu anaeitwa ‘Nkai’, Mungu aliyepo kila mahali, japokuwa hawana uwezo wa kujua umbo wala nia yake, anaweza akadhaniwa kuwa na sifa zinazofanana na za mwanaadamu mzee sana. Heshima, maarifa yanayotokana na kuishi miaka mingi na
uwezo wake wa kitamaduni katika kubariki na kulaani umuongeza heshima Mungu huyu mwenye nguvu...
Sherehe ya Harusi ya Kimaasai (Kimasai)
Sherehe ya Harusi ya Kimaasai
Katika jamii ya Wamaasai, ndoa uchukuliwa kwa umuhimu sana. Pale watu wawili wanapowekwa pamoja kuwa mume na mke, maharusi hawa wanatarajiwa kuishi pamoja milele; talaka sio chaguo labda kama mahari haikulipwa kwa utimilifu. Hata hivyo, kwa Wamaasai kushiriki ndoa na makabila na jamii zingine, talaka huanza kuingizwa taratibu, lakini ni kwa wenzi ambao wote wawili...