Hadithi: Mkaa Jikoni, Kijana Mwindaji
Mkaaah Jeechonee (Mkaa Jikoni), Kijana Mwindaji
Sehemu ya Kwanza
Sultani Maaj′noon alikuwa na watoto saba, na paka mkubwa, vitu ambavyo vilimfanya ajionee fahari sana.
Kila kitu kilienda vizuri, hadi siku moja paka alipomkamata ndama. Walipomfikishia taarifa sultani akasema, “Jambo jema, paka ni wangu, na ndama ni wangu.” Hivyo wakamjibu “sawa, mkuu,” basi tuliache suala hili.
Siku chache baadae yule paka alimkamata mbuzi; na...
Hadithi: Kima, Papa na Punda wa Dobi
Kima, Papa na Punda wa Dobi
Hapo zamani za kale Kee′ma(kima) na Pa’pa (Papa) walikuwa marafiki wakubwa.
Kima aliishi katika mti mkubwa wa mkuyu uliokua kando ya bahari, nusu ya matawi yake yakiwa baharini na nusu ardhini.
Kila asubuhi, wakati kima alipokuwa akila matunda ya mkuyu, papa alionekana chini ya mti na kumwambia, "Nirushie chakula, rafiki yangu;" .Ambapo kima alikubali kwa moyo mmoja.
Hii...