Hadithi: Kima, Papa na Punda wa Dobi
Kima, Papa na Punda wa Dobi
Hapo zamani za kale Kee′ma(kima) na Pa’pa (Papa) walikuwa marafiki wakubwa.
Kima aliishi katika mti mkubwa wa mkuyu uliokua kando ya bahari, nusu ya matawi yake yakiwa baharini na nusu ardhini.
Kila asubuhi, wakati kima alipokuwa akila matunda ya mkuyu, papa alionekana chini ya mti na kumwambia, "Nirushie chakula, rafiki yangu;" .Ambapo kima alikubali kwa moyo mmoja.
Hii...
Hadithi: Mtoto wa Tabibu na Mfalme wa Nyoka
Mtoto wa Tabibu na Mfalme wa Nyoka
Sehemu ya kwanza
Kulikuwa na tabibu msomi, alikufa na kumwacha mke wake na mtoto wa kiume, alipokuwa mkubwa mkewe alimwita yule mtoto jina kulingana na mapenzi ya baba yake, Hassee′boo Kareem′ Ed Deen′.
Mtoto alipokwenda shule, na kujifunza kusoma, mama yake alimpeleka kwa fundi mshona nguo ajifunze hio biashara lakini hakufanikiwa kujifunza. Basi baada ya...