Shida za Ukuaji wa Idadi ya Watu Dar-es-Salaam
Shida za Ukuaji wa Idadi ya Watu na Mabadiliko ya Hali ya Hewa Dar-es-Salaam
Ukuwaji wa idadi ya watu na miji kwa kasi ya haraka vinaweka watu na mali zao kwenye hatari zaidi zinazoletwa na mabadiliko ya hali ya hewa
Tanzania ni nchi iliyoathiriwa na mafuriko kwa kiasi kikubwa, na kibaya zaidi nchi ina mji mkuu katika Afrika mashariki unaokua kwa...