Mchakato wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa Tanzania
Tanzania Inavyokabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa
Matukio ya hali ya hewa, kama ukame, mafuriko, na dhoruba, kihistoria yamegharimu Tanzania kwa kiasi kikubwa sana. Athari zilizokadiriwa za mabadiliko ya hali ya hewa zinaweza kuongeza gharama hii, na kuzorotesha maeneo muhimu ya maendeleo ambayo yanaweza kuzuia nchi kwenda mbele zaidi. Kwa kutambua ukweli huu, Serikali ya Tanzania na jamii ya...